ISO 9001 : 2008 Certified
 
 
Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) is a regulatory body under the Ministry of Health and Social Welfare which is responsible for regulating the quality and safety of food, drugs, cosmetics and medical devices. more about TFDA
Thank you for visiting our website
Now you can register your Clinical Trial ( i.e. Protocol Registration ) online through the Tanzania Clinical Trial Registry (TzCTR) system.
  Under Construction !
Have you suffered an adverse drug reaction? If so please consult your healthcare provider to fill the ADR form on-line. or  download the form, have it filled by your healthcare provider and send it to us.
[more about Adverse Drug Reaction]
The authority provides education to the public about food, drugs, cosmetics and medical devices. For more information   Click here  
 

General News


Viongozi wa Kikundi cha Sanaa na Utamaduni cha Viziwi Tanzania (KISUVITA), wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula (TFDA) na Dawa, Hiiti Sillo (mwenye suti katikati) mara baada ya mafunzo ya uelewa wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba.

Mtathmini wa vyakula wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Jasson Kyaruzi, akitoa mafunzo ya kwa viongozi wa Kikundi cha Sanaa na Utamaduni cha Viziwi Tanzania (KISUVITA) juu ya udhibiti wa vyakula na ufuatiliaji wa madhara yatokanayo na matumizi ya vyakula. Kulia kwake ni mkalimani wa KISUVITA, Kiza Musa. Mafunzo hayo yaliratibiwa na TFDA.

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza akimkabidhi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick, msaada wa fedha taslimu shilingi 1,187,000 zilizochangwa na wafanyakazi wa TFDA kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo la Mboto. Katikati ni Katibu wa TUGHE Tawi la TFDA, Oscar Kandege.

Wafanyakazi wa TFDA wakipita mbele ya Jukwaa Kuu (haliko pichani) kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day). Maadhimisho hayo yalifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 
 
  1. Mkutano wa Wamiliki wa Maduka ya Dawa Baridi Mkoani Dar es Salaam, tarehe 17 January 2012.
    (Posted: 16th January, 2012)

  2. Announcement to all Parties Conducting Clinical Trials and those Providing Preventive Chemotherapy in Tanzania.
    (Posted: 30th December, 2011)

  3. Clarification on Inspection of Overseas Pharmaceutical Manufacturing Facilities by TFDA.
    (Posted: 21st December, 2011)

  4. Announcement to All Parties Involved or Conducting Clinical Trials in Tanzania.
    (Posted: 25th October, 2011)

  5. a) Utaratibu Mpya wa Kulipia Huduma za TFDA Kufanyika Kupitia Benki.
    (Imetolewa: 07 Oktoba, 2011)

    b) New Payment Systems for TFDA Services Through Bank Account.
    (Posted: 7th October, 2011)

  6. Tahadhari ya Uwepo wa Dawa Bandia kwenye Soko.
    (Imetolewa: 27 Septemba, 2011)

  7. Tangazo la Viwango Vipya vya Ada na Tozo 2011/2012.
    (Imetolewa: 23 Septemba, 2011)

  8. Taarifa kwa Umma Kuhusu Usalama wa Samaki Walioingizwa Nchini kutoka Japan, Tarehe 24, July 2011.
    (Imetolewa: 13 Septemba, 2011)


Copyright ©2011  All rights reserved.
Powered By TFDA