tfda_building_front.jpg

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) inapenda kuwatangazia wadau wake namba nyingine za mawasiliano kwa njia ya simu kwa Ofisi zake za Makao Makuu zilizopo eneo la Ubungo - External, Dar es Salaam

Namba mpya za mawasiliano kama ifuatavyo;-
0658 445222, 0685 701735 na 0777 700002
Nyongeza ya namba hizi inatokana na matatizo ya kiufundi kwa simu zetu kwa namba za awali za TTCL.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.