|
Baadhi ya waathirika wa Vipodozi.Madhara haya hutokea kwa kutumia Vipodozi visivyosajiriwa au vyenye viambata vya sumu |
|

Afisa wa TFDA akigawa vitabu kwa wananchi walio hudhuria uzinduzi wa kitabu cha JE NITAPENDEZA?Vipodozi hutumika kujiremba au kujiongezea uzuri ingawa uzuri si lazima kubadirisha rangi ya ngozi.
|

Chakula kinatakiwa kutunzwa na kuhifadhiwa mahali pazuri.
Dawa zinapotumika bila kufuata maelekezo ya daktari, husababisha madhara kwa mtumiaji wa dawa hizo ingawa madhara hayo yanaweza kusababishwa na mwili kutokubaliana na dawa husika
Vipodozi vyenye viambata vya sumu hudhuru watumiaji wa vipodozi hivyo na kuwaweka watumiaji kwenye hatari kubwa sana. |