
Mamamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imechapisha vipeperushi kadhaa ili kutoa Elimu kwa Umma juu ya shughuli za TFDA.
Tfda imekuwa ikitoa vipeperushi hivyo kwenye Lugha mbili kuu, Kiingereza na Kiswahili, Kushoto ni Baadhi ya Vipeperushi vilivyotolewa na Tfda .
|